Alvindo – taka taka lyrics

Unakataa kua dem Yangu Naenda kwa Mrogi nakuroga unakufa na nakujaa kwa mazishi yako kukula na Kukunywa na kukula nikucheke ukizikwa Unaringaga unaringa nini na sura mbaya ata kuliko mbuzi roho chafu