Alvindo smiling

Alvindo – taka taka lyrics

2 mins read

Unakataa kua dem Yangu
Naenda kwa Mrogi nakuroga unakufa
na nakujaa kwa mazishi yako
kukula na Kukunywa
na kukula nikucheke ukizikwa
Unaringaga unaringa nini
na sura mbaya ata kuliko mbuzi
roho chafu kama ya shetani
unadhaniaga wewe ni nani
[Takata taka taka
mapepo zinakufwata
sijui ata ni nini niliona kwako
ata ningejua ningekatia dadako]x2

Ulinikataa juu ulijua ntakukataa
juu ka hungenikataa mi ningekukataa
so nilingoja tu we ndo unikatae 1st
cos am a gentleman and ladies go 1st
But let me tell u something young woman
apana wekea wanaume roho ya chuma
ukikatiwa joh kubali kukatika
ama ukizeeka ndo maringo itaisha
bure kabisa na ukwende kabisa
na utume beshte yako akujie izo nguo ulibakisha*2

Unakataa kua dem Yangu
Naenda kwa Mrogi nakuroga unakufa
na nakujaa kwa mazishi yako
kukula na Kukunywa
na kukula nikucheke ukizikwa
Unaringaga unaringa nini
na sura mbaya ata kuliko mbuzi
roho chafu kama ya shetani
unadhaniaga wewe ni nani
[Takata taka taka
mapepo zinakufwata
sijui ata ni nini niliona kwako
ata ningejua ningekatia dadako]x2

Kukupenda ndio mi huregretingi tu sana
hata natamaningi hatungewai patana
unaishi maisha fake na umejaa tu madrama
ata nashukungu uliwachiangwa laana
mara ati leo unaitwa Natasha
kesho umechange jina unaitwa Soni
mara uko single kesho ukona bwana
mara unaishi ronga mara unaishi Doni
I even suspected ur a criminal
na kama we ndo dem acha nikae hivo
staki ata mwingine acha nikufe single
umeniacha na chronic bachelor syndrome

Unakataa kua dem Yangu
Naenda kwa Mrogi nakuroga unakufa
na nakujaa kwa mazishi yako
kukula na Kukunywa
na kukula nikucheke ukizikwa
Unaringaga unaringa nini
na sura mbaya ata kuliko mbuzi
roho chafu kama ya shetani
unadhaniaga wewe ni nani
[Takata taka taka
mapepo zinakufwata
sijui ata ni nini niliona kwako
ata ningejua ningekatia dadako]x2

I love everybody who loves everybody, somebody got to love somebody at some point.
Music is something that comes natural to everybody and it's a language that everybody can understand, I understand it and that's why I speak it
fluently, do you.