Stivo Simple Boy – INAUMA ft Byzzo The Baddest (Lyrics)

2 mins read

[Hook]
Inauma but itabidi uzoee
Inauma but itabidi uzoee
Inauma but itabidi uzoee
Inauma but itabidi uzoee

[Verse 1]
Gospel imekuwa industry
Manabii feki wana spoil ministry
Imekuwa ngumu kuelewa
Bila emcee hii story ni tricky
Natia bidii kimziki Ili watu wajue we ndo kamili
Pikipiki inawabeba Kurudi nyuma manze sitakubali
Alikuwa na ndoto ya kuwa star
Risasi ishamuingiza gizani
Alisoma but amekosa job
Anakula matumbo amekosa tumaini
Nikamdate akanipenda
Kumleta home manze akanibeba
Namuita date ye siku moja
Manze anakam na mabeshte manze amewabeba

[Hook]
Inauma but itabidi uzoee
Inauma but itabidi uzoee
Inauma but itabidi uzoee
Inauma but itabidi uzoee

[Verse two]
Nimechop nimeuza ata shamba
Kupata job kibogoyo kuuma chuma
Niko na shop amekam akakopa
Si food but daily choche anakula
Ukiwa doh ni ka uko na kijiko
Hawa madenge daily unawachota
Napiga show badala ya kujengwa madoh
Napewa tisho, nipige looku mtaani jishow
Nadai kuparty but sina kakitu kwa pori
Ndani ya miniskirt kukashika si ni ngori
Na vile kuna njeve sina kesi niko kwa korti
Odi hakubisha before apige koto
Najiita sonko kwa kichwa style ni punk
Embe dodo kwa chumvi ka iko young
Kimbelembele nakwachua we ni last
We ni ras na daily unashinda butchery

[Hook]
Inauma but itabidi uzoee
Inauma but itabidi uzoee
Inauma but itabidi uzoee
Inauma but itabidi uzoee

[Verse three]
Kuna baridi umekosana na mchumba wako
Mtoto wako anafanana na jirani yako
Ule mwenye daily anapenda chuma ametupa mbao
Na umemlisha for 20 years akiwa tu kwako
Na hivi vipi mi nakuwanga nimemsave sweety
Na ye kwa phone amenisave mtu wa takataka
Ye ni keki na keki watu wengi hukata
We ni takataka wengine ni wa mkwanja

[hook]
Inauma but itabidi uzoee
Inauma but itabidi uzoee
Inauma but itabidi uzoee
Inauma but itabidi uzoee