Mahaba niue! Wema Sepetu na Whozu, ndoa tunayo?
Chimama na Chibaba, yaani kipenzi cha Watanzania, Wema Sepetu na Whozu wana jambo lao na mambo ni mengi sana, ila masaa ndiyo machache. Wawili hawa wapo kwenye penzi zito, yaani kilichobaki ni mialiko ya kula biriani au ndoa InshaAllah. Stori zilizokua zinaenea kwenye page za udaku kuwa wana familia upande wa Whozu na haswa mamake […]



