Sauti Sol – Tujiangalie lyrics featuring Nyashinski
Barua Toka Jaramogi na kenyatta Wanauliza kama Kenya kuko sawa Nikawajibu Kenya tuko na disaster Watoto wetu wanazidi kuzikana Na Tom Mboya ameshika tama Alituacha kama angali kijana Je angekuwa mambo Yangekua sawa? Ndivyo Alivyopanga Maulana Deni Mlizowacha bado tunalipa (tunalipa) Na tumekopa zingine China Tukajenga reli pia barabara Zilizobaki watu wakasanya So tujiangalie (tujiangalie) […]
