Nyashinski – Glory lyrics

Glory si hupea God Lawama shetani na bangi mamember hurudi home na hope Pastor anaenda na ganji Small talk yukuwa job ubaya ni hailipangi Nimemaintain najiskizia Msiniite kaamnikanji Hi ni miracle baby

Nyashinski – Marathon Runner lyrics

Yeh Huh [Refrain] But the music we making it touch your soul Take you to a place you never been before Africa tunaikamia tu mos mos bana I’m Kenyan so you know

Nyashinski – Hayawani Lyrics

Kabla Suala ukamilishe Mama Tafadhali Mola mwambie Milele anichunge mi nisije zama Mashetani yasinivamie Chuki wivu tunakutesa Linda kwako usiwaskie Kwa nini hatuwezi sote kupenda Oii wenzangu acha niwaambie Labda si sote

Nyashinski – Free lyrics

[Intro] Yea, sawa sawa Hii side yetu tuko works kama kawa Shinchilla KDaGReat [Chorus] Can I be free? Relax and take it easy, we only get one life So live yo life

Sauti Sol – Tujiangalie lyrics featuring Nyashinski

Barua Toka Jaramogi na kenyatta Wanauliza kama Kenya kuko sawa Nikawajibu Kenya tuko na disaster Watoto wetu wanazidi kuzikana Na Tom Mboya ameshika tama Alituacha kama angali kijana Je angekuwa mambo Yangekua