Sauti Sol – Rhumba Japani lyrics ft. Kaskazini, Bensoul, Nviiri, Xenia, Okello Max & Nairobi Horns
Kuna Rhumba ya Juja Na ni ya maboy Ukisaka mitumba Enda Rhumba ya Toi Kuna Rhumba ya Kibich Utajua hujui Kuna Rhumba for all you niggas ila Rhumba Japani ndio Rhumba [Verse 1: Bensol] Kuna Rhumba ya state house iko chini ya maji Kuna Rhumba ya bunge Ya majambazi Ukileta ujinga Utalala ndani Kuna Rhumba […]

