Sudi Boy Kolola cover art
The official cover art photo for Sudi Boy's 'Kolola' hit record. Photo credit: Instagram/sudiboyofficial

Sudi Boy – Kolola lyrics

1 min read

Kolokolola mama kolola kolola
Kolokolola mama kolola kolola
Embedodo embedodo
Limelala mchangani
Embedodo embedodo
Limelala mchangani
Kwa huba namazoea uwe wangu wa milele
Kwa huba namazoea uwe wangu wa milele

[Verse 1]
Nilipata shida zama zangu
Kupata mpenzi aina yangu
Umekamilika mke wangu ooo
Sitaki mwengine kando yangu
Aa umeyabadilisha maisha yangu
Tangu nikupate wewe
Ukayasawazisha makosa yangu baby wee
Ukapigana vita juu yangu mradi niwe na wewe
Na ukahakikisha ndoto zangu hazija kwenda na nawewe

[Hook]

Kolokolola mama kolola kolola
Kolokolola mama kolola kolola
Embedodo embedodo
Limelala mchangani
Embedodo embedodo
Limelala mchangani
Kwa huba namazoea uwe wangu wa milele
Kwa huba namazoea uwe wangu wa milele

[Verse 2]
Hapo awali nilikudhalilisha
Mbele zawatu nikakuaibisha
Thamani yako chini nikaishusha
Pole sana mpenzi wangu
Hapo awali nilikudhalilisha
Mbele zawatu nikakuaibisha
Thamani yako chini nikaishusha
Pole sana mpenzi wangu
Nisamehe nisamehe nisamehe Tuijenge boma
Nisamehe nisamehe nisamehe na goti napiga uu

[Hook]

Kolokolola mama kolola kolola
Kolokolola mama kolola kolola
Embedodo embedodo
Limelala mchangani
Embedodo embedodo
Limelala mchangani
Kwa huba namazoea uwe wangu wa milele
Kwa huba namazoea uwe wangu wa milele

Wee wewe ahaa
Mmh wee skiasasa
Nyama choma
Nyama choma
Na moja ya baridi
Teremsha lete raha
Wazee wakumbuke
Nyama choma
Nyama choma
Na moja ya baridi
Teremsha lete raha Wazee wakumbuke
Teremsha lete raha
Wazee wakumbuke
Teremsha lete raha Wazee wakumbuke
Teremsha lete raha Wazee wakumbuke

I love everybody who loves everybody, somebody got to love somebody at some point.
Music is something that comes natural to everybody and it's a language that everybody can understand, I understand it and that's why I speak it
fluently, do you.