Smallz Lethal dropped a song dubbed 'I'm Offended' calling out Kisii Governor, Ongwae and Kisii’s CEC for Culture, Sports, Youth and Social Services, Mr. Duke Mainga Echate. Photo credit: Instagram/smallzlethal
Smallz Lethal dropped a song dubbed 'I'm Offended' calling out Kisii Governor, Ongwae and Kisii’s CEC for Culture, Sports, Youth and Social Services, Mr. Duke Mainga Echate. Photo credit: Instagram/smallzlethal

Smallz Lethal – I’m Offended lyrics

2 mins read

Oh Ngwai me natumianga
Lakini Ongwae pia umetuangushanga
Tusiianzie mbali cheki nyanchwa barabara
aibu kubwa kwa watu wetu wa hapa
connection ya Bosongo town mpaka Suneka
hiyo soko mmekula mpaka mikeka
hiyo hela ni 56 million
BBI sitting ati 18 million
Mketi kwa Uwanja mliopewa 90 million
kuijenga mkatumia 6 million
Hizi figures zinaAdd up kweli?
Jua lisemwalo linakuanga na ukweli
Wananchi wakikuona wanakuona kwa telly
yaani wewe kuwa Governor imekuwa ni kejeli
Makeja ndio umejaza tu Nairobi
Umeharibu na hizo tender za maroadi

[Hook]
Mimi mKenya halisi, (I’m offended)
Mimi Kama msanii (I’m offended)
And as a chairman of a club,(I’m offended)
Mimi mKenya halisi, (I’m offended)
Mimi Kama msanii (I’m offended)
And as a chairman of a club,(I’m offended)

Mbona wananchi mnaabudu mheshimiwa
na mheshimiwa hakuna kazi anafanya
anakula tu za county na mabibi mmeibiwa
mmetii ni kama ni gun mmeshikiwa
Waziri wa michezo,waziri una mchezo
waziri unatunzaje hizi talanta za kikesho
waziri unasemaje hiyo hall ya wasanii
umepeana makanisa hapo wanakesha na maleso
Mheshimiwa akili yako sio fresh
tumengojea vitu Kama tournaments
na huwezi fanya
Concerts huwezi panga
Kisha uje kusema eti wasanii wanakutukana
Umeshinda ukituambia tungoje
cheki saa
Nipe reason moja mbona nikuite sir
Wahenga walisema tukishikana tunaenda far
lakini unaenda solo weh unataka uende fast
Natumia voice yangu tu the best way i can
Kurepresent mayouth from maboys to mayeng
sasa Ni miaka tatu tumesmile thru the pain
we no longer at your service, everything’s not the same
Shabana glamour boys tunakazana kurudi
weh unachukua Nevaton mnaenda Kula mbuzi
tusitumie stadium vipi na una reason za kipuzi
hiyo Ni bullsh*t
Wasanii ulizieni pesa ya Ruto,
Ama mtabaki mkikula tu majuto,
Tunataka kuona pesa ama studio,
Ati minister of the year
haufai kuwa na tuzo.

[Hook]
Mimi mKenya halisi, (I’m offended)
Mimi Kama msanii (I’m offended)
And as a chairman of a club,(I’m offended)
Mimi mKenya halisi, (I’m offended)
Mimi Kama msanii (I’m offended)
And as a chairman of a club,(I’m offended)