If there’s one rapper in Kenya who I know he’s not afraid to speak his mind even if it means going against the grain is none other than the Kibera’s finest, Octopizzo.
Octopizzo will speak his mind out no matter what and to some he’s regarded as the Kenyan ’50 Cent’ because he isn’t afraid to call people out even if it means calling out fellow celebrities and artistes out if they are on the wrong.
Octopizzo is currently riding high with his hit record ‘Kanye’ that you can’t listen to it the correct way if it’s not back to back to back and the best thing about it is that it just hit a little over a million views on YouTube.
Going to Citizen TV’s show ’10 Over 10′ to promote the record, Octopizzo had some advice to former gospel artiste, Willy Paul and kept it real.
Below is what he had to say to its entirety
“Willy Pozze unajua anachachishia, anapimisha wasee wazimu huko IG, kitu mimi nataka kumuambia ka msanii mwenzake…ye hunidungia by the way, si uongea but kitu anafaa ajue yaani kuna saa hii, as much as anadu hizi utoto zenye anadu, kuna wasee wana-look up to yeye walikuwa wakimuona
wanaona manze mimi nataka kuwa kama huyo msee. Unaona, so, asijaribu kuignore hawa wasee hata kama ni wasee wawili ju sasa, msee kama huyo ka alikuwa ana-look upto you hiyo design na ama alikuwa anaamini hizi vitu unasema about Church na saa hii tume-realize kumbe hizi vitu zote walikuwa wanasema about Church zilikuwa tu za maganji. Labda hata hajui Church ni nini. Unaona, so kuna wasee amelostisha hiyo design, si ati amewapoteza ju ati sitaki kuwa na nyinyi ati mi.
Halafu anadhani secular ni rahisi, wacha kwanza nimuambie, anadhani secular ni rahisi? buda huku hakunanga sadaka, na huku hakunanga huruma, ye hajaona venye rada inakuanga, ukishachapa secular, unaokokanga kiujanja. mimi saa hizo nimeokoka bana, hizo sadaka bana. sijawahi skia msee ame-backslide, ati sasa amerudi, ah buda sa mi hata sadaka zimenitosha tuingie club tuchafue, niko na pesa mingi za sadaka nini, So, haitakuwa rahisi but kitu mi namuambie, ye ni msee, ndio najua anapenda kufanya hizi mastunts zake but kuna wasee, kuna msee uko ocha manze anakuanga akiskia Willy Paul ni kama ameskia Jay Z wake. Na akianza kulostisha huyo msee na hizi vitu, hizi mastunts anapull just ndio uget likes fulani ama ndio utrend coz nimerealize wasee wako so into trending than other kudu tu muziki tu poa.
ngoma ngapi hazitrendingi hapa Kenya na zinakuanga global hits? unaona, so nashindwa mbona imefika place saa hii, kila msanii hata si Willy Paul pekee, kuna wengine kadhaa ati manze akitoa ngoma, ngoma ni fiti but ju haijatrend anaanza ku-panic. “manze, siko hata top ten bana”. Buda, trend watu hulipia, saa hii hata naweza post paka na ulipie ka hundred dollars inatrend number one. It’s not about ati hii ndio kitu wasee wanawatch sana, wasee husponsor hii stuff. do to mziki unapenda, itrend isitrend, kwani buda YouTube ndio walikuambia uanze kurap ama uanze kuimba! ati we sasa aanzanga kuimba, ukiangusha tunakutrendisha, cheza kama wewe”.