Picha: Mimba ya Jokate Mwegelo ni ya nani?

/
2 mins read

Jokate Mwegelo,  ex-girlfriend wa msanii wa bongo flava, Alikiba na mkuu wa wilaya ya Temeke ana mimba!

Mengi yameibuka kwenye mitandao ya kijamii, kuhusu ni nani mwenye uja uzito?

Kwa muda mrefu mwaka huu, Jokate alibadilisha mawazi yake kusitiri uja uzito wake kila alipotokea kufanya shughuli zake au kati ya umma.

Stori ni nyingi sana. Ripoti ambazo hazijadhibitishwa ila zimechapishwa kwenye mitandao na blogs zinasema, mimba ya Jokate ni ya mwanabiashara  Fred Vunjabei.

Ikitokea kuwa kweli, basi Bwana Ngajiro, atakua baba mtoto mtarajiwa na mzazi mwenza akishazaliwa.

Picha kwa hisani ya Instagram: Fred Vunjabei

Jokate Mwegelo amebadilika sana baada ya kushika mimba hii. Atakua ni mtoto wake wa kwanza.

Baada ya kutengena na Jokate kwa sababu zisizoepukika, Alikiba alimuoa Amina Khalef, mrembo kutoka Kenya. Hata hivyo ndo hii ilikumbwa na changamoto nyingi sana hadi ikaishia kuwa kama ‘hewa ya moto.’

 

Picha za Jokate Mwegelo akiwa mjamzito

Picha kwa hisani ya Instagram: Jokate Mwegelo
Picha kwa hisani ya Instagram: Jokate Mwegelo
Picha kwa hisani ya Instagram: Jokate Mwegelo
Picha kwa hisani ya Instagram: Jokate Mwegelo

Mheshiwa Jokate Mwegelo, alifanya sherehe  ya kujiandaa na mapokezi ya mtoto.

Baby shower ilifanyika nyumbani kwake na kuwashirikisha marafiki na watu wake wa karibu, mwezi huu wa Oktoba 2022.

Tunaifuatilia stori hii kwa ukaribu wa haja, ikidhibitishwa kuwa mimba ni ya Vunjabei, baas! Kila la kheri kwao!

Read Also:Akothee hints mzungu lover Omondi is introducing her to sexual roleplay