Nuh Mziwanda achafua hali ya hewa na mini-skirt yake

Robert Makasi
2 Min Read

Nuh Mziwanda, msanii wa bongo Flava, amewashangaza wengi Africa Mashariki baada ya kuvalia mini sketi kama dada. Hii sio kawaida yake Nuh Mziwanda, hivi kuna nini?

Mziwanda amebadilika tu ghafla, pengine ni kiki kwa minajili ya kutafuta upepo wa kuikibiza EP yake mpya #WONDERsEP. Hata hivyp mashabiki wa mziki Tanzania, wamemwaga hasira zao kwenye page ya Nuh Mziwanda kwenye Instagram, baada ya kuweka picha akiwa amevalia sketi na kikuku mguuni kama binti.
Nuh Mziwanda wataka uitwe Asha nini?
Mtindo huu wa kuvalia nguo za kike upo pia nchini Kenya sasa. Eric Omondi, Flaqo, Crazy Kennar na wengineo, hawana adabu wala aibu, kwao ni kazi na pesa kwanza,Ā  maadili potelea mbali, Kigoma.
Nuh Mziwanda
Picha kwa hisani ya Instagram @iam_mziwanda

Maoni ya Watanzania baada ya Nuh Mziwanda kuvalia ki-mini

Kutoka kuwa mume wa mtu mpaka kuwa shoga wa mtu inasikitisha sana tumepoteza kijana mwenzetu @hassanmaulid22
Mshikaji vipi kikuku mbona atukuelewe unavaaa nguo za Dada yako shida Nini mbona umeshatobowa kitambo hayo yanakushushia hazi. @bigfunicture
Dar da siji mimi kwa namna hiyo. @mwana.wa.mungu91
Dah yani cjui familia yako inakuchukuliaje hasa watoto zaidi mama yako na baba yako maisha ayaendi ivyo bro unadhalilika kwa ajili ya kutaka umarufu wa dunia hikiwa kabulini utakuwa pekeyako umarufu wote utauwacha, kumbuka kaka ulizaliwa siku moja na utakufa siku moja unapotea. @johnjames8171
Picha kwa hisani ya Instagram @iam_mziwanda
Picha kwa hisani ya Instagram @iam_mziwanda

Nuh Mziwanda acha kabisa, utapotezwa na kiki! Moyo hauna jinsia, piga kazi ijitangaze!

Read Also:Mahaba niue! Wema Sepetu na Whozu, ndoa tunayo?

Share This Article