mayut walipatikana wakishonde kwa kichaka na makarao

/
1 min read

Manze vako zingine zinakuanga ziko tu chini, niaje unaweza ndesho kwa kichaka mbele ya raia na usiogope! manze hata kama wewe ni bigfish jo, hiyo vako haileti daya.
Sasa kuna hii video moja ya ki-cartoon inaitwa Makarao iko YouTube walifanya hiyo story na vile waliifanya hapo,  ni kama vile wadhii wa mtaa ufanya na sitaji mtaa gani but ni vako kama za Oti Malenya mbaya ama maybe wanamjua, hehehe

But all in all, vako za kukata wandathe kwa kichaka hivi hivi si fiti. hebu cheki hii video ngori hapa chini uvunje mbavu kiasi yake hii Weno

I love everybody who loves everybody, somebody got to love somebody at some point.
Music is something that comes natural to everybody and it's a language that everybody can understand, I understand it and that's why I speak it
fluently, do you.