Kikosi Kazini featured Kenyan artistes in their latest offering. Photo credit: Instagram/kikosikazinitz
Kikosi Kazini featured Kenyan artistes in their latest offering. Photo credit: Instagram/kikosikazinitz

Kikosi Kazi featured Kayvo Kforce, Kaa La Moto, Trabolee, Romi Swahili in their ‘Last Warriors’ song

9 mins read

Kikosi Kazi has made a statement across the entire East African region after they got to work with the best rappers Kenya has to offer today.

Kikosi Kazi is arguably the biggest hip hop group in East Africa, coming from Tanzania comprising of 8 members.

The members are; Azma Mponda, Nikki Mbishi, P Mawenge, Songa, Mansu – LI, One The Incredible, Zaiid, Stereo.

Kikosi Kazi brought together some of the best lyricist, prolific and respected rappers Kenya has to offer in their latest hit record dubbed ‘Last Warriors’ which has cemented East Africa as a bonafide hip hop hub.

“hip hop needs new music, new faces, new personality” Kaa La Moto beseeches hip hop

The Tanzanian group featured Kayvo Kforce, Kaa La Moto, Trabolee, Romi Swahili on their record that inevitably proves what Khaligraph Jones has been saying for years now, that “indeed the East has something to say.”

Kikosi Kazini comprises of 8 members: Azma Mponda, Nikki Mbishi, P Mawenge, Songa, Mansu -LI, One The Incredible, Zaiid, and Stereo. Photo credit: Instagram/kikosikazinitz
Kikosi Kazini comprises of 8 members: Azma Mponda, Nikki Mbishi, P Mawenge, Songa, Mansu -LI, One The Incredible, Zaiid, and Stereo. Photo credit: Instagram/kikosikazinitz

This song is predominantly about every rap artiste rapping about what’s currently going on in our society and boy! did they speak facts on the ‘Last Warrior’ record.

Since every rapper came prepared with facts, bars, emphasis, and relatable metaphors, every verse on the record is quotable.

Here’s every verse every rapper rapped on the record starting out with Kaa La Moto.

Kaa La Moto’s verse:

Tunairudisha MANGIRIMAA,ilete ma DEAL money.
bila kuvunja MAADILI,tuiweke ASILI,man.
VIKAO,vya kujenga HOJA,sio viroba.
Wambie WATOTO,gang gang ni UHUNI,sio slogan.
Save YOURSELF son,you need no, Jesus,or Muhammed.
You DIFFERENT,young and GIFTED,more UPLIFTED.
We need MORE, MEKATILILI kwa generations.
The impact,SALVATION,and POSITIVE solutions.
The NATION,needs a MAUMAU, revolution.
Sio KEYBOARD warrior,unangonja nani,aiboreshe.
Peace na WANA,tunaisambaza,kama ganja.
Kwanzia Kanda ya ziwa,mpaka BAHARI HINDU,Tanga.
DECEMBER mpaka JANUARY Makamba.
The code up,kama HUEY of Black Panther,so react,kwa WAKANDA.

P Mawenge’s verse:

Tumebarikiwa hii nafasi kuwa vijana wenye nguvu
tuzitumie kwa vitu vya maana na sio vurugu
Hii ndo ndo time ya kupambana na sio majungu
Na unachoona kuwa kinashindikana tumwombe Mungu
Mababu zetu wanatutegemea si ndo souldiers
Wameshachoka waje kuegemea kwenye shoulders
Lengo letu la kuwa-take care liwe moja
Tuwape ulinzi tosha ulionea kila border
We need to share every little thing that we have
We need to teach each other, how to behave
Tupa uoga kando tufunzane how to be braves
We need to be rebooted not like back in a days

One The Incredible’s verse:

Una NGUVU, PUMZI na AFYA,
KIJANA MTASHI/
Pigania HAKI, pinga na ULAFI, pinga na UNAF’KI
MAJUNGU HAYAJENGI, unao uwezo wa KUFIKIRI
KIJANA, JENGA ya LEO, ya KESHO yanasubiri
Usupoteze MUDA, JITUME!
SUKUMA KAZI, ISIKUUME UKIBUMA kwani, JIFUNZE
Ndo UKUBWA man
UJASIRI UNAHITAJIKA, KUFIKA UNAPOHITAJI
HUSIKA panapohusu, TIMIZA, unakwama wapi!?
PAMBANA na CHANGAMOTO,
MISOTO haiishi,
NDOTO hazilipi USIPO’SHTUKA,
Unalala FO FO FO, Vipi!?
Kwani, unapotoka ni mbali
KIJANA, KAZA UGOKO DIMBANI!

Trabolee’s verse:

Out my window there’s no bundles of joy just big babies that stagger with poise and see hazy/
So I cover the noise with sweet medleys as I gather my toys and keep checking
If they murdered my boys who kept scraping in the gutter and soil that keeps shaking from the the thunder and toil and sweat!…
Eti Kujikaza kisabuni Haimanishi foam ITAJIPA
Nilikosa answer vitabuni so naziandika
Mali spawn zinazikwa unicall ukifika
Money talks narespond ikiniita
Nyumba bila mlango? (Door) Dough inahitajika
Kwanza fagia kwako hizo choo zinachachisha
Ati vijana ni famous wako sofa (So Far)
Kwenye kiti
Chauffeured kwa mazìshi ndo order ya mwandishi
So namurder beat ndo dissect topic
Ati Tra anafanya fit na sanaa haifetch profit?

Azma Mponda’s verse:

Tunapanga stanza kama Abc,
We go back to the basics see
We go back to the street’ tunachange channel’,
Hatuwezi ku retreat, tumeketi kwa panel,
Wakati mambo zinapamba moto
Mitaa ina changa moto,
ujana ni kama maji ya moto,
pambana usikalie ndoto,
Kututoka street za nairobery’
Sioni peace kuna forgery
Dar es salaam, zinatumwa salaam
Tunafamu’ penye ushindi haramu
Tuukizidi kujitoa ufahamu
Kuna siku itamwagika damu
Ni zamu kwa zamu
Jam kwa jam
Ukiwa na sikio la usikivu
utasikia bidhaa
Tunatema line mbivu’
zireflect mitaa

Kayvo Kforce’s verse:

Natokea ghetto slum town
Kibera toka kitambo kulikuanga gun town
But we made it out muhfvckas know it’s my time
Hiphop we bringing it back one time
Back to basics we taking you back in time
Sai ni collabo tushamalizana na compe
Kikosi iko kazi hadi tukafunge ka makonge
Only way forward ni kunukisha kama shonde
Industry, kuikunywa yote kwa kakikombe yeah,
Am killing these flows ain’t looking for hoes
really jus grindin for doe
ain’t tryinna be beefing
with non of you nigas coz really you kids still teething
Am in my bag you ain’t on my level
so we shouldn’t really be speaking

Nikki Mbishi’s verse:

The teachings of his majesty I n I,
Rastafari Haile Selassie I time passing by
You don’t need kujimwambafy au kujustify lies
Na options ni get rich or die trying
Nothing’s impossible cuz possible is something
No laughing politicians stop bluffing
Hatuwasikizi tena SERA zenu zimeperish
Hatuwacherish tunawashoot kama Sheriff
John Brown this is how it goes down
Pambana uende sawa na maboss floss town
Toka sare na maisha songa mbali hangaika
Ipo siku watakubali we mkali au sio Mwaisa

Romi Swahili’s verse:

As I walk through milango za grocery store
Notice section ya produce huwa imejazwa uki shop
Section ya snacks na nyama huwa iko empty kwa shelf
Diet ya cholesterol na gutter press, ni maradhi Wana sell
Ole wako, Ukikosa kupima chakula yako ka dawa
Itabaki ume swallow dawa watakuuzia kama chakula
Let’s cut the chase, kwa lugha ya layman kuza food yako
Zuia tamaa duni, zingatia tamaduni – roots zako
Emotional eaters na matonge kwa social gathering
Watoto wana skip breakfast kwa meza wakikosa margarine
Poetry kwa advert za products, offer kwa magazine
Appetite driven na impulse za promo na coloring.

Mansu LI’s verse

Taifa la kesho nipo hapa nimes’mama/
FUTURE ni leo,na-hustle hard ndiyo mana/
POSITIVE vibes only (no drama)/
Never ever feel lonely/
Young Black n Gifted,siwezi potea njia/
I believe in God, man mtanza mwenye nia/
I wanna die a WARRIOR, no drugs n shit/
Kioo cha jamii that’s why i stand still/
Najuwa wajibu wangu kama raia/
Sogea karibu yangu unayenisikia/
Ni Tanzania na Kenya pamoja tunawahusia (Yes sir)/
Amani kwanza mengine yatafatia, yeah!