Jua Kali - Maswali Kibao Lyrics
OLYMPUS DIGITAL CAMERA

Jua Kali – Maswali Kibao Lyrics

2 mins read

Maswali kibao
Maswali kibao Eeeeeeeeh!!!
Maswali kibao
Chali yangu we ni mbigi
utembea aje tao?
Naskia we ni mjanja uliamua kujenga aje hao?
Besides ngoma mtu wangu we ufanya nini?
Masiku zinaenda chali yangu utaoa lini?
Naskia ukihama we upitia watu mtaani?
Unajuana sana unaeza nisaidia kupata kazi?
Unaskuma gari gani mtu wangu?
Nikikualika utakuja birthday yangu?
Karibu kejani unapiga makali ama keg
We uingiza baridi kabla upande stage?
Kwa nini unaspell jina yako hivyo?
Unaongea mtu wangu kwa nini we uroga hivyo?

Maswali kibao
Maswali kibao Eeeeeeeeh!!!
Maswali kibao

Unaongea sheng sana unajua kizungu kweli?
We si mtu wa kawaida we uskia njaa kweli?
Besides ngoma zako we huskiza nani mwingine?
Unacheka sana we ukasirika saa zingine?
We udeal aje na stress mtu wangu?
We udeal aje na ma groupie mtu wangu?
Vitu zako zimekubali we hushukuru Mungu?
We ukumbuka zile siku zilikua ngumu?
Kenya kubwa we ni kabila gani?
Mungu mkubwa unafuata dini gani?
We ni mwanaume kwa nini unafuga nywele hivyo?
Ni siri gani unatumia kukaa kwa industry hivyo?

Maswali kibao
Maswali kibao Eeeeeeeeh!!!
Maswali kibao

Ulipanda matatu mwisho siku gani?
Clemo ye ukua chini ya maji ye ni mtu design gani?
Genge inamaanisha nini chali yangu?
Ulifuta msoto siku gani chali yangu?
Ulitoa wapi roho ya kuperform mbele ya watu wengi?
Na ka hauperform we udunda wapi weekendi?
Unajulikana sana we hutembea na ID yako?
Fan ja mimi unaeza mkaribisha kwako?
Dishi gani inakubamba kabisa?
Ngoma gani yako inakubamba kabisa?
we uenda ocha kweli kucheki wazazi?
Na una feel aje kukua JUACALI?

Maswali kibao
Maswali kibao Eeeeeeeeh!!!
Maswali kibao

 

I am a Pan-Afrikanist to the core and love to let the world know what they are missing in Africa. I might do that through music and some interesting posts from time to time so please bare with me.

I will always be real though, that's a guarantee.