Esma Platnumz's ex-husband cries foul after she denied him access to their daughter 
Esma and Petite Man with their daughter. PHOTO/Courtesy

Esma Platnumz’s ex-husband cries foul after she denied him access to their daughter 

3 mins read

Petit Man says his ex-wife Esma Platnumz has prevented him from seeing their daughter Taraj Ahmed.

The businessman posted a long message on Instagram about his feelings towards Esma and Taraj.

Petit said Esma denying him his right as a father is breaking the law.

“Upendo wangu kwenu Mkubwa mno ❤❤ @baby_taraj_wakuache01 @petit_junior01 Nafurahai mnajuana 👨‍👩‍👧‍👦 kumzuia mtoto asiomuone Baba sio dawa itakuletea shida baadae #TarajHappyGirl😃 #KianSuperBoy. Shotstory: Juzi nilijaribu kupeleka zawad za mtoto wangu shuleni kwake ila niliambiwa kuna maagizo maalum kutoka juu siwezi kumuona mtoto ambae ni binti yangu Taraj Ahmed ila niliomba sana bila kupata nafasi katika shule ya EAST AFRICA MIKOCHENI shule nilitafuta mwenyewe 😀😀ila niliacha zawad pale za taraj getini kwa mlinzi lakini kesho yake kupitia mwanangu @yuzzo_brands alinipigia na kuniambia zawad zangu nilizompa taraj zimerudidhwa kutoka kwa mama mtu nimezipokea na nimeziweka home siku atakuja kuziona story itaendelea……..,” Petit Man wrote.

In a quick rejoinder, Esma Platnumz also took to social media to narrate how Petit Man threw her out when their daughter was only three months old and refused to assist her.

She shared photos of her daughter when she was still a baby as she recall what she endured at the time.

Hii picha nimepiga Nyumbani kwa Naseeb baada ya kufukuzwa na mwanaume niliyezaa nae na kunitupia vitu vyangu nje aliambiwa achague kati ya mimi au mtu aliyekuwa nae kipindi hicho alimchagua huyo mtu na Kwenye kipindi juu alienda kunikashifu na Talaka juu

Mtoto alikuwa anamiezi 3

Nakumbuka hapa nilikuwa sina hata mia sina maziwa pampers wala nini mwanaume unampigia sim kuhitaji vitu vya mtoto anakuwekea loudspeaker wanakucheka na watu wake au laah akuchezee anavyotaka then akupe hela ukiondoka nyuma unakutana na matusi kakutukana kwenye mitandao nilipiga moyo konde nikachoka nikajiamulia kujiuzia vimafuta na kuachana nae kabisa nakumbuka nilianza na machupa matano ya mafuta na nilikaa mwezi mzima mpk kupata wateja ila namshukuru Mungu

Wengi humu humu mtandaoni walinicheka na kunitukana na kuhisi nimechanganyikiwa

Now mfanyabiashara nauwezo nikalipia watoto wangu Feza, East African

Tulikuwa tunarudiana na wanaume huenda atabadilika akajua majukumu yake

Mwanamke unayenichamba mimi wewe ungeweza!!?… Hadithi fupi tuu nimekutolea na kutangaza hajazaa na mimi bali amezaa na mdogo wangu

Kumbuka unavyonisapoti mimi kuja dukani kununua vitu unanisaidia watoto wangu waende shule na wale

Tusikubali kijana wa mjini kwa mjini wake akutishie maisha mwanamke simama imara usikubali kudharaulika

:Naongea km mama mwenye uchungu

Sipendelei kuongelea nina vingi mno ila kukaa kimya kunachosha niacheni na Amani yangu na watoto wangu tabu nilizozipata Mungu na Malaika wake ndo anajua

#SITAKUJAKUONGEATENA