Alikiba with his new babe and his estranged wife Amina Khaleef. Photos/Courtesy

Alikiba slammed for refusing to grant his wife divorce while he flirts with other women

3 mins read

Alikiba has been blasted for refusing to sign divorce papers and grant his estranged wife Amina Khaleef  the same freedom that he enjoys flirting with other women.

The Bongo singer raised a furore after he was seen enjoying a quality time with another a lady only identified as Babbi Sherrie on a yacht.

US-based Bongo blogger Mange Kimambi came out to savagely slam Alikiba after the video with his new babe went viral on social media.

Alikiba kaka yangu kuwa muungwana basi, si umpe Amina talaka yake ili nae awe free kama wewe. Binti wa watu anahitaji ku move on, kuolewa tena na kuwa na familia yake, unachofanya ni unyanyasaji na uhuni kwa kiasi flani. Alafu hii tabia haikufit kabisaaaa. Yani umekuwa mshenzi kumzidi Dai. . Mimi kama dada yako nakuomba uwe mstaarabu, malizana na Amina then ndo ufanye haya.

“Dah! . Mi kama dada yako nimekubali kuwa deep down in your heart huyu ndo mwanamke unaempenda na kwenye app niliwaambia mwaka huu mwanzoni kuwa huyo Babbi Sherrie ndo mwenye roho ya Kiba maana demu hana hata 100, Kiba anamuhudumia mpaka chupi na Kiba kuhudumia demu sio zake that means kafa kaoza na niliwaambia kabisa Niffer anapoteza muda kwa Kiba anaependwa ni yule mwenzie, na niliwaambia kinachomsaidia Niffer ni sababu tu ana biashara na vihela vyake mwenyewe ila on the long run Babbi Sherrie ndo mwenye roho ya Kiba.

“So wala sijawa surprised na hili ila nachokuomba kuwa muungwana basi kwa yule dada wa Kikenya uliemharibia usichana wake for no reason. Umemfanya amekuwa single mama bila sababu. Basi mwache akatafute kwingine mpe talaka zake na wewe endelea na wadada wako wa mjini.

“Doh! Acha kumdhalilisha Amina, yule ni mama wa watoto wako. Sio sawa unavyomdhalilisha hivi, she doesn’t deserve this. Mpe talaka yake akae eda aolewe tena sio hiki kifungo unachompa huku ukiendelea kumdhalilisha. . . Fans wa Kiba inabidi mumwambie Kiba aache huuu uhuni.. .

“Alikiba hapa una prove point ya yule dada analiefanya media tour kudai kuwa ulimu-abuse(ulimnyanyasa) maana hapa unamu- abuse Amina. Embu jiheshimu KIBA, tunakupenda sana ila huu ushenzi hatuwezi kuukubali. .
Na wewe Babbi Sherri karma itakurudia tu, unanijiachia na mume wa mwanamke mwenzio bila huruma ya yule anateseka kiasi gani. Kama unapendwa sana si atoe talaka kule akuoe wewe. Muone akili kisoda tu. Badala uwe na msimamo kuwa atoe talaka kule ndo akuweke public uko comfortable kutumika na mume wa mtu.. Silly girl!!!! . .
Diamond Platnumz umemuona mwenzio alivyo na taste ya watoto wazuri, hapo wakizaa mtoto lazma atoke ka mdoli. Wewe nakushauri usidhubutu kuzaa na king’ang’a. . . .” Mange wrote.

Related: Alikiba reacts after his estranged Kenyan wife demands that he signs divorce papers