Sudi Boy – Kolola lyrics

Kolokolola mama kolola kolola Kolokolola mama kolola kolola Embedodo embedodo Limelala mchangani Embedodo embedodo Limelala mchangani Kwa huba namazoea uwe wangu wa milele Kwa huba namazoea uwe wangu wa milele [Verse 1]

Sudi Boy – Kaba lyrics

[Verse 1] Katoto kamekubali kanafigure Kali Kali Kali aki ya nani si utani Ngozi laini Hurlaini Nikimuweka kiganjani hatoamini Toto kidoli nyumanyuma kimebeba ngori Macho gololi sababu yake ntasukuma troli Toto kidoli