Ad Clicks : Ad Views : Ad Clicks : Ad Views : Ad Clicks : Ad Views :

Nyashinski – Now You Know (Lyrics)

/
/
/
/
video

mmmmhhhhhh mhhhhhhhhh

Huyo ni mfala mgani anaeka ma mng’ari kwa list juu ya ferrari eeh

ana degree au ni journalist tu juu ana list? naskia wakiuliza

Ule boy wetu alienda wapi amepotea kaa zile mbegu watu
walipanda na kanyareeeee eh eh eh

na naskia ina semekana ati rap zangu hukam na mkazo na ile utam ya reggae mama ma ordinary wananikubali na hata watiaji hawaezi kana kwa wale hupenda sauti yangu na iko wale husengenyana mama

mama kijana wako amepotea ni maskio tu ye anatoboa huku ndugu
zake wakiendelea mwenyezi pekee anaeza muokoa ki maisha amelegea
ingawa hatuoni akitoboa bado twazidi kumuombea amina…

mmmmhhhhhh mhhhhhhhhh
yeah sionangi haja ya ufisi sina njaa najua mpishi, sijai fanya kazi ya ofisi
sijai lala kaa sijadishi sijarap kitu kaa ktoka o6 ivi trust me
siezi rust mimi ata niache mziki miaka hamsini nkirudi bado nawacrush nyinyi
niko 1st mie ndani ya party na nguo rasmi imepigwa pasi hapo katikati navigation mic check juu niko party na niko night shift…

nlikua busy sikua najificha clearly you rappers missed your teacher vitu mnaandika zinachoma picha nkiwish singewacha kuwafundisha sauti naskia ni….

don’t waste your time wishing you’re too proud my baby too proud to
wish they had an easy way out let times get tough so they remember
you are a blessing when life is good they will forget to sayyy

uuuuhhhh mmmmhhhhhh mhhhhhhhhh heeeyyyyy

naulizwa mbona nliacha mziki,ati nlikua mkali juu ya mic na namisiwa na mashabiki,
nliacha game mapema hata kabla reffa hajapiga firimbi, bila kwaheri ati walishtukia
tu ati kuna klepto mmoja haimbi samahani nimepokea shukrani kwa wale wamenifkiria
hizo miaka zote nmekua missing lakini iko kitu hamjaniambia kaa ningebaki bado
ungekua na taki ya kuskia nikiwaimbia ama by saiii mngenifanya vile mnafanya ma pioneer story kwa media ati nimechapa niko juu ya madawa nahangaika

show ni ule jamaa aliimbaa ‘Ada Ada’ ebukam u curtain raisie mnaija its not that serious

rap ni hobby bila mziki bado namanga ingekua career si ngekua nalia kuskia ati Naija Night Nairobi ambia new comer asijifeel sana we ni mgeni siku ya kwanza tunakupenda (tunakupenda)

ukikaa kaa tutachoka na wewe ivo ndio ku uenda (ivo ndio ku enda)

mi ni ule mgeni alikaa siku mbili tu sikukaa siku mingi nkuachie nafasi ya kuchoka na mimi

so now you knowwwwwww
shinsky
so now you knowwwwwww
beat ya keggah
so now you knowwwwwww

heeeyyyyy
mhhhhhhhhh heeeyyyy
uuuuuuhhhhhhhhhhhh

Now Sing along to: Nyashinski – Mungu Pekee Lyrics

Facebook Comments
Loading...
  • Facebook
  • Twitter
0