Ad Clicks : Ad Views : Ad Clicks : Ad Views : Ad Clicks : Ad Views :

Exclusive:The Lyrics For Tanzanian Rapper AY ‘ZIGO’ Is Finally Here And You Can Now Sing Along To It

/
/
/

Picha linaanza nishadata
Picha linaanza nishawaka
Picha linaanza nishachanganyikiwa
Picha linaanza nishadaaaata
(Kweli mie)
Amenikamata
Kwa jinsi navyomwangalia,akinipatia
Nami sitamuacha

VERSE 1:
Kwa nyuma ananipa mineso
Moyoni ananipa mateso
Wa kishua ila mateeendo ya Ghetto
Mtamu  na hapendi vya dezo
Nakulaaa kwa macho
5 Star Gurl si mchezo huh
Ebu ooona
Ebu ooona

(Kweli mie)
Amenikamata
Kwa jinsi navyomwangalia,akinipatia
Nami sitamuacha

VERSE2:
Too sexy..Too sexy (Ya man)
Bushee Bushee (Di Ya man)
Mungu ameumba hapa  (Yah man)
Natamani nikaseme nae (Yah man)
Nimpe niliyooo nayo moyoni
Sipati picha mimi na yeye Chumbani
(Laugh)
Chumbani….
Eeh!!!

Naamini amezaliwa ili mimi ni-we naaye eh
Mpaka sasa nimechanganyikiwa mpaka yeye awe na-mi eh

IWEEE… IWEEE…IWEEE
IWEE IWEEE hii ndoto

Mtamu mpaka utamu umepitiliza
Akikaa na wengine wana-chukiza
/ She can lick D (Yah man)
Ngoja niongeze bidii (Yah man)
Ukute hili zali langu (Yah man)
Nikapige masinemari (Yah man)

SHE’S YATH

Natamani tujifiche kule Zanzibar
Bahari ituzunguke Adventures  tuko high
Simu zikiwa off
Bata Bukini Pofu
Game iwe back to back kusiwe hata na hofu
Niwe nae ale bata la hataaariii
Naamini tutafika mbaaalii

/Kama Bonnie & Clyde–>
Pamoja kwa safari tutimize ndoto (Yah man)

(Kweli mie)
Amenikamata
Kwa jinsi navyomwangalia,akinipatia
Nami sitamuacha

IWEEE… IWEEE…IWEEE
IWEE IWEEE hii ndoto

Mtamu mpaka utamu umepitiliza
Akikaa na wengine wana-chukiza
/ She can lick D (Yah man)
Ngoja niongeze bidii (Yah man)
Ukute hili zali langu (Yah man)
Nikapige masinemari (Yah man)

Naamini amezaliwa ili mimi ni-we naaye eh
Mpaka sasa nimechanganyikiwa mpaka yeye awe na-mi eh

Nakulaaa kwa macho
5 Star Gurl si mchezo
Ebu ooona
Ebu ooona

(Kweli mie)
Amenikamata
Kwa jinsi navyomwangalia,akinipatia
Nami sitamuacha

Kwa nyuma ananipa mineso

Ebu ooona
Ebu ooona

(Kweli mie)
Amenikamata
Kwa jinsi navyomwangalia,akinipatia
Nami sitamuacha

Kwa nyuma ananipa mineso

Ebu ooona
Ebu ooona

Facebook Comments
Loading...
  • Facebook
  • Twitter
0