The video of President Uhuru Kenyatta warning Mombasa Governor, Hassan Joho subliminally has since gone viral.
The video shows the President warning the governor in Swahili :
“ni ukubwa, ati ni vile wanakuja kuskumana na mimi, mimi nitawaangusha … sio yeye akuje aambie watu wa Likoni amewajengea nini miaka yake nne, si akuje tufwatane na yeye hapa, tunafwatana na yeye hapa afanye nini, mimi sio bibi yake…
Aende atekeleze shughuli zake kama ako nazo lakini kwa ukweli, shida yake ni kwasababu anajua hakuna chochote ambayo ametenda, anataka kujishikilia katika korti ya serikali ya taifa” – President Uhuru Kenyatta
Watch the video below