Tipsy Gee. Photo/Instagram (@tipsygee_)

Tipsy Gee – Taki Nakati lyrics

2 mins read

Intro

Cheki
Mahna Tipsy
(Like a boss)

Verse 1
How pretty is your neighbor
Juuh wangu joh ni peng
Jana saba ilinibamba
Venye bana alibend
Nilizu-balia denda kizoobiezobie geng
Nilicheck nikacheck again and again
She’s a ten kameiva kasipogeuzwa kataungua
Ni kadiva kanasumbua
Kanafanya adi mih na shiver
Na cna cure mih nacheza sure
Katajipa c unanijua
Peng check confirm nishaa keba katam
Navenye jooh kamevaa kanakaa kamenicharm
Na bado cjang’am atakama ni jina ya gram
Na inafanya na jam bana inafanya na jam

Chorus
Taki nakati taki taki mih nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Chini ya maji taki taki mih nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Taki nakati taki taki mih nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Chini ya maji taki taki mih nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana

Verse 2

Mahna Tipsy
Fetish yangu huanga funny
Yani bora akona budda dredi na ni mali safi
Moto wa nyumbani
Short en sweet to be sexy
She be my queen kanadunga dera
Kanataka ni nicheki
Pale kwa hips kakitak… mimi kwisha
Kwanza kakiuma lips c mih kashaa nibakisha
Sai mih nasimp mahali kamenifikisha
Naona mih nikichizi
Msupa ni peng
Check confirm nishaa keba katam
Navenye jooh kamevaa kanakaa kamenicharm
Na bado cjang’am atakama ni jina ya gram
Na inafanya na jam bana inafanya na jam

Chorus

Taki nakati taki taki mih nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Chini ya maji taki taki mih nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Taki nakati taki taki mih nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Chini ya maji taki taki mih nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana

 

 

I love everybody who loves everybody, somebody got to love somebody at some point.
Music is something that comes natural to everybody and it's a language that everybody can understand, I understand it and that's why I speak it
fluently, do you.