Trio Mio and Shari Afrika lyrics

Trio Mio, Shari Afrika – Vumilia lyrics

–Intro– Na na…eeh Na na na na na…eeh Na na na naaaaa… Na na na naaaaa… –Hook– Vumilia…roho yangu… Majaribu, ni kama moto… Inayochoma…imani yangu.. Baba naomba…nsaidie… –Verse 1– Trio leo mbele zako Mtaani brikicho na landlord Leo ametutingia padlock Rent ya kama mwezi tano Tangu ancheki kwa Mpasho na- aniskie kwa radio Jambo.. hacheki […]