Sudi Boy's cover art for Kaba lyrics

Sudi Boy – Kaba lyrics

[Verse 1] Katoto kamekubali kanafigure Kali Kali Kali aki ya nani si utani Ngozi laini Hurlaini Nikimuweka kiganjani hatoamini Toto kidoli nyumanyuma kimebeba ngori Macho gololi sababu yake ntasukuma troli Toto kidoli Nyuma nyuma kimebeba ngori Macho gololi Sababu yake ntasukuma troli ooo Kaba kaba kaba Zikikupanda hisia Kaba kaba kaba Akikupandisia Kaba kaba kaba […]