Sudi Boy – Kolola lyrics
Kolokolola mama kolola kolola Kolokolola mama kolola kolola Embedodo embedodo Limelala mchangani Embedodo embedodo Limelala mchangani Kwa huba namazoea uwe wangu wa milele Kwa huba namazoea uwe wangu wa milele [Verse 1] Nilipata shida zama zangu Kupata mpenzi aina yangu Umekamilika mke wangu ooo Sitaki mwengine kando yangu Aa umeyabadilisha maisha yangu Tangu nikupate wewe […]



