Smallz Lethal – I’m Offended lyrics
Oh Ngwai me natumianga Lakini Ongwae pia umetuangushanga Tusiianzie mbali cheki nyanchwa barabara aibu kubwa kwa watu wetu wa hapa connection ya Bosongo town mpaka Suneka hiyo soko mmekula mpaka mikeka hiyo hela ni 56 million BBI sitting ati 18 million Mketi kwa Uwanja mliopewa 90 million kuijenga mkatumia 6 million Hizi figures zinaAdd up […]



