Domani Munga(holding the briefcase in a suit) has been looking forward to share with his fans his debut project 'Haitaki Hasira' since late last year. Now that it's here, fans can't keep calm already. Photo credit: Instagram/wakadinali lyrics

Wakadinali – Kuna Siku Youths Wataungana lyrics feat Sir Bwoy

[Intro: Domani Mkadinali] Uh, uh [Chorus: Domani Mkadinali] Haina noma, una namna Tuseme “bora uhai,” haina maana Achia noma Maulana Life kwenye streets kakiumana Juu kuna siku youths wataungana Kuna siku youths wataungana Haina noma, una namna Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama Haina noma, una namna Tuseme “bora uhai,” haina maana Achia noma Maulana Life kwenye streets kakiumana Juu […]