King Kaka – Senzenina lyrics
Foot prints kando ya bahari nikiskia symphony ya maji/ Vile samaki na boat zina dance, kweli Mungu ana kipaji/ But all good things ziko na mwisho, I think the end ndio huitwangwa Kifo/ Ulienda kama warrior, sababu we ndio ungetuwakilisha/ Lini unamaliza quest, ni lini unaitamatisha?/ Already kuna ngombe nono, ukirudi tunaichinja/ Maisha sikuhizi inanisakata, […]