Scar Mkadinali – Kovu lyrics
Vile me hufanya juu ya handas matire MaNewcomer wapewe pampers wapime Ambia nyash tumemwaminia basi, Lakini tukishampoteza hakuna comeback ingine Na ukome na hizi kwanza catch up na zile Ndio uroge ka Mimi labda mkamba akuazime Kifua ujipige wee ni master wa kuchocha tunakujua wee ni mwere wee si gangster ya kutosha Na ikibidi tunakuleta […]


