lyrics music

JANET OTIENO AND RIGAN SARKOZI #NISAMEHE LYRICS Is Finally Here

(INTRO) Janet Otieno and Rigan Sarkozi, mwana wa nzambe VERSE 1-RIGAN SARKOZI Naomba Mola unisamehe, dhambi zangu zote nilizotendaa Kama ni kukosa, dhambi nilizotenda Yesu nikumbuke Wale waliopita inje ya ndoa naomba Baba uwakumbuke Kama vile ulivyokumbuka wana Israeli Yesu wangu Kama ulivyokumbuka Batimayo akaonaa Yesu wee, mi naliaaa…ooohhh,   CHORUS Nisamehe, Yesu wangu nisamehe […]