lyrics music

choku – pole lyrics ft juacali

Ulidhani kuwa mimi nakupenda, Ulidhani kuwa mimi nakutaka, ulidhani kuwa mimi nakutamani, pole Ulidhani kuwa mimi nakupenda, Ulidhani mimi nakutaka, ulidhani kuwa mimi nakutamani, pole sio kuwa sikuku kuwaza, sio kwamba na kupuuza, sio kwamba nakudharau, wengi tushapitia, wasema kuwa huyu dada amekuvunja moyo, moyo, unalia, una nuna, sasa wanichukia sababu sikupendi, sikutaki, Ulidhani kuwa […]