Niache Niimbe Lyrics by Pitson
Siku moja mama nitakujengea , Nyumba ya kifahari uishi poa mama, na pesa za mziki Siku moja baba nitakununulia, gari la kifahari uendeshepoa baba, na pesa za mziki Siku moja dada nitakulipia, karo ya shule, uende university, na pesa za mziki Siku moja brother nitakufungulia biashara kubwa, uwe sonko brother, na pesa za mziki [Hook] […]

