Otile Brown and King Kaka alivyonipenda lyrics

Otile Brown – Alivyonipenda lyrics featuring King Kaka

[Otile Brown] Saa zingine anayekupenda humpendi unapenda mwingine anayependa mwingine hata asiye mpendanga Na kila mtu anataka type yake saa zingine hata wale wenye hadhi na sisi tunawakataanga [Hook] Alivyonipenda yule alivyonipendanga Alivyonipenda yule sikujali nikamuaga [Otile Brown] Yule aliyenipenda bure nikamuacha kwa ajili yake yule aliyefata pesa na Zaidi ya hiyo sikuwa na maana […]

entertainment

Otile Brown unveils his ‘love’

Talk of love, Otile Brown experienced it first hand after one Lilian Necki who followed him on two shows in different locations and she is a devoted number 1 fan of him. This made the ‘Niseme Nawe’ hit maker take time off to appreciate her in a long post below; “Yaani wakati watu Wanazungumzia #diehardfans najivunia @liliansnecki .. wakati […]