Ochungulo Family – Pandemik lyrics
[Motif di Don] [Verse 1:Benzema] Pandemik pandemik Pedi wangu ana sling ya hadi Kendrick Tuko ocha tunavuta boza Mama otis ametukaribisha na mboga Mapantre wanaona ng’ombe kuku Madem biringanya inakaa dudu Night-runners saizi hawawezi toka puthu Mutura hukuwa tamu 8:30 usiku Na materrorist’s hawana watu wa kubomb Pastor Ng’ang’a hana watu wa ku con Jimmy […]


