Nuh Mziwanda achafua hali ya hewa na mini-skirt yake
Nuh Mziwanda, msanii wa bongo Flava, amewashangaza wengi Africa Mashariki baada ya kuvalia mini sketi kama dada. Hii sio kawaida yake Nuh Mziwanda, hivi kuna nini? Mziwanda amebadilika tu ghafla, pengine ni kiki kwa minajili ya kutafuta upepo wa kuikibiza EP yake mpya #WONDERsEP. Hata hivyp mashabiki wa mziki Tanzania, wamemwaga hasira zao kwenye page […]
