lyrics

Otile Brown – Yule Mbaya lyrics

Verse 1 Moyo Wangu Aliumiza Vibaya Nanusurika kua Hai , Nanusurika kua Kua Hai Na Kidonda Ndugu Alionipa Kina Maliza Tu Dawa Katu Hakiponi Ooh Akiponi!! Ila Kumuacha Ndio Siwezi Moyo Umemchagua Yeye japo Najua Hanipendi Kua Naye Sitaki , Ila sina budi Moyo Unamuitaji (Nampenda Anajua ndio Mana Anajisheua Moyo Una kina Kirefu Kilichonieka […]

lyrics music

Davido – If lyrics

my money my body na your own if i tell you say i love you o my money my body na your own o baby thirty billion for the account o versace, gucci for your body o no do, no do no do, garagara for me no do, no do no do senrere o no […]

lyrics music

choku – pole lyrics ft juacali

Ulidhani kuwa mimi nakupenda, Ulidhani kuwa mimi nakutaka, ulidhani kuwa mimi nakutamani, pole Ulidhani kuwa mimi nakupenda, Ulidhani mimi nakutaka, ulidhani kuwa mimi nakutamani, pole sio kuwa sikuku kuwaza, sio kwamba na kupuuza, sio kwamba nakudharau, wengi tushapitia, wasema kuwa huyu dada amekuvunja moyo, moyo, unalia, una nuna, sasa wanichukia sababu sikupendi, sikutaki, Ulidhani kuwa […]

King Kaka – Senzenina lyrics

Foot prints kando ya bahari nikiskia symphony ya maji/ Vile samaki na boat zina dance, kweli Mungu ana kipaji/ But all good things ziko na mwisho, I think the end ndio huitwangwa Kifo/ Ulienda kama warrior, sababu we ndio ungetuwakilisha/ Lini unamaliza quest, ni lini unaitamatisha?/ Already kuna ngombe nono, ukirudi tunaichinja/ Maisha sikuhizi inanisakata, […]