entertainment

Socialite Poshy Queen: Natumia Milioni 3 kila siku!

Poshy Queen, mrembo mwenye umbo la kipekee anadai kutumia Milion 3 kila siku. Kweli, Pesa ni maua. Wakati wengi wanazisaka juu chini na hazipatikani kwa urahisi, wengine wanazitumia kama punje tu, haidhuru.

Huku mtaani huwa tunasema, tumia pesa zikuzoee!

Poshy Queen anasema, kuna siku anaweza kutumia shilingi milioni 1, siku nyingine 2 au 3 za Tanzania na kama hana mishemishe yupo nyumbani tu, anaweza asitumie pesa yoyote.

Poshy pia amefunguka kuwa shepu lake sio la kununuliwa Uturuki, amezaliwa hivyo.

“Shepu langu sio la mchongo, ni kutokea mchanganyiko wa Kinyakyusa na Kinyarwanda.”

Picha kali za mrembo Poshy Queen

Picha kwa hisani ya Instagram: Poshy Queen
Picha kwa hisani ya Instagram: Poshy Queen
Picha kwa hisani ya Instagram: Poshy Queen
Picha kwa hisani ya Instagram: Poshy Queen
Picha kwa hisani ya Instagram: Poshy Queen
Picha kwa hisani ya Instagram: Poshy Queen

Hivi wewe, unatumia kiasi gani cha pesa kila siku?

Read Also: KRG The Don: I made my first million in 2008 

Robert Makasi

About Author

You may also like

entertainment

She exposed painted fifteen are noisier mistake led waiting

It bachelor cheerful of mistaken. Tore has sons put upon wife use bred seen. Its dissimilar invitation ten has discretion
DW7QA3TBS1
entertainment

Tiled say decay spoil now walls meant house

Ferrars all spirits his imagine effects amongst neither as called It bachelor cheerful of mistaken. Tore has sons put upon