lyrics

Pascal Tokodi – Ewe Mola lyrics

actor and musician Pascal TOkodi

Kwa upendo wa moyo wako
Umenibariki
Mikononi mwako
Mi-nitanawiri
Chochote utakacho
Nitakitimiza
Wema wako wote
Mi-nitalipiza

Kwa upendo wa moyo wako
Umeniinua
Mbele ya adui wangu
Ukaniokoa
Uaminifu wako
Mimi nathamini
Wema wako wote
Mi-nitalipiza

[Hook]
Ewe mola niskize
Nina maneno machache
Niruhusu niimbe
Nikikupa hii shukrani
kwa baraka uliyonipee
Mi nasema tu asanti
Mchana na usiku
Mi ntakusifu

Machozi yanidondoka
Nikijazwa na mafikra
Pale ulinitoa na
mahali nimefika
Yote haya ni sababu
Ya uwezo wako baba
Wema wako wote
nitalipiza

[Hook]
Ewe mola niskize
Nina maneno machache
Niruhusu niimbe
Nikikupa hii shukrani
kwa baraka uliyonipee
Mi nasema tu asanti
Mchana na usiku
Mi ntakusifu

Kwa baraka Uliyonipa
Kwenye shida nilizopita
Na mahali nimefika
Ni juu yako!

Kwa baraka Uliyonipa
Kwenye shida nilizopita
Na mahali nimefika
Ni juu yako!

[Hook]
Ewe mola niskize
Nina maneno machache
Niruhusu niimbe
Nikikupa hii shukrani
kwa baraka uliyonipee
Mi nasema tu asanti
Mchana na usiku
Mi ntakusifu

Ethan Maina

About Author

I love everybody who loves everybody, somebody got to love somebody at some point. Music is something that comes natural to everybody and it's a language that everybody can understand, I understand it and that's why I speak it fluently, do you.

You may also like

lyrics

K-South’s lyrics to the song changamka is finally out

Verse One (Bamboo) Ehh baby si uko fresh kaa mimi Yes kaa chini Stress? ya nini? Ex? ako wapi, I
music lyrics

Oksyde’s ‘Beautiful’ Lyrics is out now

  [So badala nimplay wacha nicheze guitar] x 2 Check I Saw her face from a far aki move ndani