Otile Brown and Khaligraph Jones on set of their 'Japo Kidogo' music video

Otile Brown – Japo Kidogo lyrics featuring Khaligraph Jones

2 mins read

[Otile Brown]
Yeah Vicky pon dis
Ooh get down
ooh get down now Ooh get down
ooh get down Ooh get down
ooh get down now Ooh get down
ooh get down(whooza)

Mama bend down and break your back
pretty whine and drop it like a slut Mmmh
ukitaka nikupeleke nyumbani
Wengine ni daraja soma kazi
Mama kiuno chako
Unavyokizungusha kama hulla hoop
Nabaki nakutamani
sina budi Mmmh
na wewe Ushajua nia yangu
Ndo maana unajisheua na makusudi
Aah
Me niko hapa kwa ajili yako
Hapa ni kuwa sikai hadi nikakuona
Aah mama
Me niko hapa kwa ajili yako
Hapa ni kuwa sikai hadi nikakuona

[Hook]
Oooh japo kidogo
japo kidogo
Oooh mama break it down
Oooh japo kidogo
japo kidogo Mmmh
japo kidogo mami
japo kidogo Oooh
mama break it down Oooh
japo kidogo
japo kidogo mmmh

[Khaligraph Jones]
OG
Eeey shawty let me holla at you for a minute
Unanipandisha steam
Na sielewi mbona unakuwa mkali nikitupa lugha
Utanizungusha mpaka lini?
Coz we mwenyewe unanitaka tu
Nafurahi kila napo guza
Hii ni krimino tena(haiya)
Ndo imenifanya nasema(haiya)
Mtoto wa Nairobbery
si uko hodari
Umeniwacha nahema
Hii ni krimino tena(haiya)
Ndo imenifanya nasema(haiya)
Mtoto wa Nairobbery
si uko hodari
Umeniwacha nahema
Hakuna anayesema hunifai
Umekawasha utadhani ni ngwai(ooh nah nah)
So sioni mboma ukatae
Si wawili tunaendana walai (oooh nah nah)

[Hook]
Oooh japo kidogo
japo kidogo
Oooh mama break it down
Oooh japo kidogo
japo kidogo Mmmh
japo kidogo mami
japo kidogo
Oooh mama break it down
Na usimind mama
Nikiomba tena
we nipe tena
Usimind mama
Me sitasema
we nipe tena

I love everybody who loves everybody, somebody got to love somebody at some point.
Music is something that comes natural to everybody and it's a language that everybody can understand, I understand it and that's why I speak it
fluently, do you.