Niache Niimbe Lyrics by Pitson

1 min read

Siku moja mama nitakujengea , Nyumba ya kifahari uishi poa mama, na pesa za mziki
Siku moja baba nitakununulia, gari la kifahari uendeshepoa baba, na pesa za mziki
Siku moja dada nitakulipia, karo ya shule, uende university, na pesa za mziki
Siku moja brother nitakufungulia biashara kubwa, uwe sonko brother, na pesa za mziki

[Hook]
Ikiwa ntakua rubani , niendeshe ndege, niwe rubani , rubani anaimba
na Ikiwa ntakua karani, karani wa benki, niwe karani, karani anaimba
Ikiwa ntakua waziri, waziri wa serikali , niwe waziri, waziri anaimba
Oh  popote niendapo, chochote nifanyacho, yeyote nitakuwa, niwe naimba.
Mama na baba naomba mniache niimbe
Niache niimbe X3
Shule nitaenda lakini mniache niimbe
Niache niimbe X3
kazi nitafanya lakini mniache niimbe
Niache niimbe X3
Mimi naahidi ntaimba nyimbo za injili
Niache niimbe X3

Mungu ni mwaminifu X4
Hakuna anayeweza hajapewa kitu cha kufanya,

Wengine wanauza nguo gikosh
Wenginewanashona ah,
Wengine wamekonda wanakimbia, mabouncer wameshona.
Wengine maodijo, polisi, ma CEO, ma M.D,
ma H.U.S.T.L.E.R maustler

[Refrain]
Sitakuangusha mama, Sitakuangusha baba
Uniache niimbe, Uniache niimbe X2

Uniache niteremke mama , teremke mama, teremke mama, eh
Uniache niimbe, Uniache niimbe X2

oh Sitakuangusha mama, Sitakuangusha baba
Uniache niimbe, Uniache niimbe X2

Uniache niteremke , teremke ,nikicheza mziki ya baba yangu
Uniache niimbe, Unieche X2

I love everybody who loves everybody, somebody got to love somebody at some point.
Music is something that comes natural to everybody and it's a language that everybody can understand, I understand it and that's why I speak it
fluently, do you.

Exit mobile version