Masauti – Kiboko remix lyrics featuring Khaligraph Jones

3 mins read

Masauti
Kenyan boy

Yaaani toto kiboko
Yaaani toto kiboko
Yaaani toto kiboko

[Khaligraph Jones]
Eeey Napenda venye unavyodunda
Ukitembea unafanya nikutake take take
Kweli Mola kakuumba,
unateketea Vile uko bed lazima nikukate
Sijui ka uko na copy
ya mimi ni nani
Mitaani wananiita OG
Unataka vipi Atoti?
Iko vipi kwani
we mgeni hapa Nairobi
Na jinsi anavyo ligidi ligidi
Kana kwamba anafanya ni ka digidi ana digidi
Ukichikidi chikidi
ana digidi digidi
Mashore wengine sai ni TBT, TBT (sareee)

[hook]
Mtoto kiboko
Eeh ahh kiboko
Huyu mtoto kiboko kiboko
yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye!
Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye!
Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye!
Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye!
Yaani Kiboko

[Masauti]
Nitadunga suti na tai
nimfwate nimnong’oneze
Nimwambie ye ndo nadai
ananipa mi mawenge (hello Shawty)
Toto la kinai
roho body
Uswazi kote ye ndo ametawala
Sioni noma yaani mbona soul body
Akinipa sikatai mimi nakwala
Figure ka mjaka Yaani balaa
nyuma vigirigi
Kwa shanga kiunoni na simama Wima
mpaka alfajiri
Figure ka mjaka
Yaani balaa nyuma vigirigi
Kwa shanga kiunoni na simama Wima
mpaka alfajiri
Mtoto high class
Nywele singa singa
kimahaga (ni mkare)
Yaani working class
bila kusita anang’oa nanga
Yaani mtoto high class Nywele
singa singa
kimahaga (ni mkare)
Yaani working class
bila kusita anang’oa nanga (si usaree)

[hook]
Mtoto kiboko
Eeh ahh kiboko
Huyu mtoto kiboko
kiboko yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye!
Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye!
Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye!
Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye!
Yaani kiboko Ye! Ye! Ye!
Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye!
Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye!
Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye!
Yaani kiboko

[Khaligraph Jones]
Check it eey
ju already tusha nokiana
Lenga huyo boy
ata moti hana
We ni kiboko tunaeza sosiana
So go ahead and bust it down thotiana
Ey we ndo kiboko
Kuja international toka local
Am the hottest rapper right now kwa soko
And rich too
bad boy si msoto Haha
oooh lord you entice me
And me backing down
so unlikely
No sidechiq I’ll make you my wifey
Masauti vipi? they can not do it like we

[Masauti]
Unavyo Katika
Shiro
Nyuma ulivyoshona Doro
nikikupata
kwa godoro (hhmm weeh kibokooo ..)
Unavyo Katika
Shiro
Nyuma ulivyoshona Doro
nikikupata
kwa godoro (hhmm weeh kibokooo ..)

[Masauti]
Ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye!
Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye!
Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye!
Yaani Kiboko

Exit mobile version