JANET OTIENO AND RIGAN SARKOZI #NISAMEHE LYRICS Is Finally Here

/
1 min read


(INTRO)

Janet Otieno and Rigan Sarkozi, mwana wa nzambe

VERSE 1-RIGAN SARKOZI

Naomba Mola unisamehe, dhambi zangu zote nilizotendaa

Kama ni kukosa, dhambi nilizotenda Yesu nikumbuke

Wale waliopita inje ya ndoa naomba Baba uwakumbuke

Kama vile ulivyokumbuka wana Israeli Yesu wangu

Kama ulivyokumbuka Batimayo akaonaa

Yesu wee, mi naliaaa…ooohhh,

 

CHORUS

Nisamehe, Yesu wangu nisamehe

Nisamehe Yesu wangu nisamehe

Nisamehe, nisamehe, nisamehe

Nisamehe, nisamehe, nisamehe

 

VERSE 2-JANET OTIENO

Ni makosa ngapi niliokosaa

Ni dhambi gani nisizofanyaa

Lakini hukunichoka

Kuniita mimi Janet mwana wako

Nasema asante, nitazidi kukuimbiaa

Yo zalinzambe ya bomoi yonde

Nzambe yobikisaka nako continue kaka kozala nayoo oh oh

Ndio maana nakuita Emmanuel, Elshadai, Jehova Jireh

Ndio maana nakuita katonda mwebale nyoo

Olimukama gwangee yesu waaanguuuu.

 

CHORUS

Nisamehe, Yesu wangu nisamehe

Nisamehe Yesu wangu nisamehe

Nisamehe, nisamehe, nisamehe

Nisamehe, nisamehe, nisamehe

 

VERSE 3-JANET OTIENO

Wale walio tupa watoto vichochoroni uwasamehe(uwasamehe)

Wale walio niibia pesa na kunitusi uwasamehe (uwasamehe)

Wale waliokuwa na siasa nyingi uwasamehe (uwasamehe)

Wale waliosema sitoweza kwa jina lako uwasamehe

 

VERSE 4-RIGAN SARKOZI

Wale waliosema Mungu hayupo jitokeze waone neema

Wajue kama Baba unatenda uko kweli

 

CHORUS

Wasamehe, Yesu wangu nisamehe

Nisamehemimi Rigan Sarkozi

Yesu wangu nisamehe

Nisamehe, nisamehe, nisamehe

Nisamehe, nisamehe, nisamehe

 

 

 

 

 

 

 

 

I love everybody who loves everybody, somebody got to love somebody at some point.
Music is something that comes natural to everybody and it's a language that everybody can understand, I understand it and that's why I speak it
fluently, do you.