JADI members studio photo

Jadi – Mimi Na Wewe lyrics

1 min read

[Intro]
Oooohhh..yeeaaah Yea

Verse 1[Vince]

Sema, mtoto mrembo na lace kiunoni,
Wema, huo wako ulio jaza moyoni,
Tena,How you love me,
Siwezi eleza mama, aaahh
Siwezi eleza mama, aaah
Umeniweza ndio maana sitaki kwenda,
Ndicho kitu sitaki kutenda hela,
Tupate tukose mi nitakupenda,
Umeniweza ndio maana nasemaaaa

[Bridge]
Ukienda nitaenda aaah aah
Ukisonga nitasonga aah aah
Ukienda nitaenda aaah aah
Ukisonga nitasonga aah aah

[Chorus]
Mimi na wewe, eh
Na wewe, eh
Mimi na wewe, eh
Na wewe, eh yeah.

Verse 2[Ethan]
Najua Baby
tukitoa mali kwenye hesabu
Tutajipata
upendo wetu bado unang’aa
unasimama
Mtoto mzuri tazama, tazama
tazama wanifanya ninawaza
Na tena tabasamu inang’aa
fahamu jinsi mimi wanifaa
Mtoto mzuri tazama, tazama
tazama wanifanya ninawaza
Na tena tabasamu inang’aa
fahamu jinsi mimi wanifaa

[Bridge]
Ukienda nitaenda aaah aah
Ukisonga nitasonga aah aah
Ukienda nitaenda aaah aah
Ukisonga nitasonga aah aah

[Chorus]
Mimi na wewe, eh
Na wewe, eh
Mimi na wewe, eh
Na wewe, eh yeah

Verse 3[Brandon]
Baby nahitaji niwe kando yako
Maana wanipa furaha ya moyo
Tabia na urembo pia wa kupindukia yanikamilisha baby

[Chorus]
Mimi na wewe eh,
Na wewe eh
Mimi na wewe eh
Na wewe eh, yeah.

I love everybody who loves everybody, somebody got to love somebody at some point.
Music is something that comes natural to everybody and it's a language that everybody can understand, I understand it and that's why I speak it
fluently, do you.