Otile Brown – Yule Mbaya lyrics

Verse 1 Moyo Wangu Aliumiza Vibaya Nanusurika kua Hai , Nanusurika kua Kua Hai Na Kidonda Ndugu Alionipa Kina Maliza Tu Dawa Katu Hakiponi Ooh Akiponi!! Ila Kumuacha Ndio Siwezi Moyo Umemchagua