Ad Clicks : Ad Views : Ad Clicks : Ad Views : Ad Clicks : Ad Views :

Otile Brown – Alivyonipenda lyrics featuring King Kaka

/
/
/
/
video

OTILE BROWN
Saa zingine anayekupenda humpendi, unapenda mwingine, anayependa mwingine hata asiye mpendanga…
Na kila mtu anataka type yake, saa zingine hata wale wenye hadhi na sisi tunawakataanga…

HOOK
Alivyonipenda yule, alivyonipendanga
Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga..

OTILE BROWN
Yule aliyenipenda bure, nikamuacha kwa ajili yake yule, aliyefata pesa na Zaidi ya hiyo sikuwa na maana
Kweli Macho yalinihadaa
Haki Macho yalinihadaa…

Alivyonipenda kwa bidii, Suzeed kanionya mimi sisikii.. Urembo pekee hauridhishi, inahitaji zaidi..

Type yangu, ni yule anaejua thamani ya penzi langu… Type yangu, ni yule anaenienzi…

Ina maana gani, uwe na msichana mrembo Dunia Nzima, na hakupendi?
Ina maana gani uwe na mume Mwenye hela chungu nzima na hakudhamini?

HOOK
Alivyonipenda yule, alivyonipendanga
Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga..

KING KAKA
Alikuwa wangu wahu wakati nilikuwa nameless, nikimuona nasinzia ka nameless… Uko? Ntakuja kalesa, love ilikuwa genuine than leather… Na huyu we started kitambo wakati skuma mezani was diambo, wakati stima kwangu was candle, wakati birthday yake haikuwa na keki…
Wakati nikisota alinipiga jeki, nikachanganyikiwa na rangi ya thao, yangu ikafunguka club ndio makao, leo Macha kesho coast tunakacha hata.
Tulizi document snapchat, niko empty nammiss kishenzi… Alinipa ya kweli mapenzi… Lonely mamiss alivyonipendanga…

HOOK
Alivyonipenda yule, alivyonipendanga
Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga..

Facebook Comments
Loading...
  • Facebook
  • Twitter
0