Otile Brown and King Kaka alivyonipenda

Otile Brown – Alivyonipenda lyrics featuring King Kaka

1 min read

[Otile Brown]
Saa zingine anayekupenda humpendi
unapenda mwingine
anayependa mwingine hata asiye mpendanga
Na kila mtu anataka type yake
saa zingine hata wale wenye hadhi na sisi tunawakataanga

[Hook]
Alivyonipenda yule
alivyonipendanga
Alivyonipenda yule
sikujali nikamuaga

[Otile Brown]
Yule aliyenipenda bure
nikamuacha kwa ajili yake yule
aliyefata pesa na Zaidi ya hiyo sikuwa na maana
Kweli Macho yalinihadaa
Haki Macho yalinihadaa
Alivyonipenda kwa bidii
Suzeed kanionya mimi sisikii..
Urembo pekee hauridhishi
inahitaji zaidi
Type yangu
ni yule anaejua thamani ya penzi langu
Type yangu
ni yule anaenienzi…
Ina maana gani
uwe na msichana mrembo Dunia Nzima
na hakupendi?
Ina maana gani
uwe na mume Mwenye hela chungu nzima
na hakudhamini?

[Hook]
Alivyonipenda yule
alivyonipendanga
Alivyonipenda yule
sikujali nikamuaga

[King Kaka]
Alikuwa wangu wahu wakati nilikuwa nameless,
nikimuona nasinzia ka nameless…
Uko? Ntakuja kalesa,
love ilikuwa genuine than leather
Na huyu we started kitambo wakati skuma mezani was diambo
wakati stima kwangu was candle
wakati birthday yake haikuwa na keki
Wakati nikisota alinipiga jeki
nikachanganyikiwa na rangi ya thao
yangu ikafunguka club ndio makao
leo Macha kesho coast tunakacha hata
Tulizi document snapchat
niko empty nammiss kishenzi
Alinipa ya kweli mapenzi
Lonely mamiss alivyonipendanga

[hook]
Alivyonipenda yule,
alivyonipendanga
Alivyonipenda yule
sikujali nikamuaga

I love everybody who loves everybody, somebody got to love somebody at some point.
Music is something that comes natural to everybody and it's a language that everybody can understand, I understand it and that's why I speak it
fluently, do you.