Ad Clicks : Ad Views : Ad Clicks : Ad Views : Ad Clicks : Ad Views :

King Kaka – Senzenina lyrics

/
/
/
/
video
Foot prints kando ya bahari nikiskia symphony ya maji/
Vile samaki na boat zina dance, kweli Mungu ana kipaji/
But all good things ziko na mwisho, I think the end ndio huitwangwa Kifo/
Ulienda kama warrior, sababu we ndio ungetuwakilisha/
Lini unamaliza quest, ni lini unaitamatisha?/
Already kuna ngombe nono, ukirudi tunaichinja/
Maisha sikuhizi inanisakata, wacha vile tulikua tunasakata dimba/
Room yako tumeiwacha the same vile tu ilikua inakaa/
Ile  poster zile  viatu, na tulifold nguo vile ulikua unazipanga/
Ntaangalia na nani sunset? Vile inazama ndani?/
kama hurudi itumbukie, na isitoke uko ndani/
Ile pilau tulijaribu kuipika, … kumbe ni mchele tu!/
Sijui nini ilifanyika, mi wakili wako niambie nikutetee tu/
Walisahau jina yako, siku hizi wanakuita  marehemu na the late./
Najua it’s not too late kwangu its now kuja tushare na we meal kwa plate/
Macho zangu ziko na layer ya sadness/ akitoka shule saa zingine husahau
ananiuliza uko wapi Moran, Agnet/
Unakumbuka vile nilikua nasema nataka kuenda gym niloose weight/
I think the future hufavor the bold/
Mchana yangu ndio usiku, usiku yangu ndio mchana/
Ambia Mungu ukam basi, tuone tu sunset pamoja, sunset tu moja/
wacha niumie, niumize matumbo nikingoja/
Unakam when niplan,sitaki mabeshte wako wamiss please/
unakam when, when tucheze PS?/
Tupe signs smoke signal tuma messenger basi/
niandikie barua niende posta kesho Ama?/ Andika kitu kwa sky najua handwriting yako Ama?/
Niangalie juu lini, usiku au mchana Ama?/ Usiandike saa zile jua inanidistract si unanijua ama?/
Si unakumbuka macho zangu hazidu poa na taa Ama?/
Hii ni ndoto ama, nikama nikiamka nitakupata njee ama?/ ama tu umehama na nalala Ama?/
ama nasleep talk Nikiamka nitakupata, ama?/ Wanasema kama sina mbona nachagua ama?/
ama umeenda na umeniwachia tu memories… Ama?
Facebook Comments
Loading...
  • Facebook
  • Twitter
0