Ad Clicks : Ad Views : Ad Clicks : Ad Views : Ad Clicks : Ad Views :

Khaligraph Jones – Toa Tint lyrics

/
/
/
/
video

Hey, have you seen Khaligraph?
that n*gga looks like he done bleached his skin,
what you think men?, like its crazy,
too much make up maybe?

HOOK
Toa tint
Khali ametoa tint[is you serious?]
Toa Tint
Khali ametoa tint[is you for real?]
Mask off,
he got that mask off
Mask off,
he got that mask off
Toa tint
Khali ametoa tint
Toa Tint
Khali ametoa tint
Mask off,
he got that mask off
Mask off,
he got that mask off

Verse 1

Check it
story iko kwa mitandao
ati nakaa ka defao
ati nimetupa mbao
ju sura ni rangi ya thao
they calling me the addi bleacher
juu ya filter mi huweka kwa picha
but as long as siku hizi mimi najipa
mimi sijali na story za sifa
nimebleach hadi ngoma natoa
nimebleach hadi cladi navaa
nimebleach hadi ndai naendesha
nimebleach hadi mbogi ya mtaa
only thing sijableach ni mkono
ju nitazidi kuwachoresha giza
me ndio bully hupiga hawa ma mono
hawa marapper wamekuwa na madiva
juzi nilikuwa raundi Dubai
nkapatana na Fally Ipupa
akanishow nywele weka dye
na sura upake mafuta
he told me that sh*t comes with consequences
so be ready for some action
I told him I don’t give a fck n*gga
I wanna be Michael Jackson
So hii mbogi ina chuki saa hii
ati wanatry kunicrucify
ati nimekuwa mushy mushy aiii
ati ju nimeanza kuvaa suti saa hii
boy mjanja toka eastlando
mtaa yangu inaitwa Gaza
nilianza bleaching toka kitambo
ndio saa hii nashine ka mwangaza[Jones]
so naeza turn to Vera Sidika
lakini hamtoshi hii talent[never]
or maybe even get a sex change
lakini bado hamtanichallenge[never]
siku hizi muziki zangu digital
tattoo nazo pia visible
utachizi kama haujui
hizi ndizo hype si hupenda
unaweza uliza Willy Paul
we keti hapo ukistudy picha
admiring all the new Khali features
am thinking services zipande bei
for a photo with me saa hii me nalipisha
so go ahead call me Vybz Kartel
ukitaka pia addi bleacher
or Vera Sidika wa rap as well
it doesn’t matter manze kazi kwisha
Subaru sa me nishakinda
nimeupgrade kwa Renji
si hiyo ndio form ya ma lightskin
am very sorry ka haunipendi
since story za bleaching zianze
the whole country inaongelea
I figured am just a big deal
so performance fee naongezea
you bloggers should be very grateful
coz of me now you hired
coz if I hadn’t give you a story
then right now you’d be fired
mimi si Papa Jones
me ni Papa Wemba
ama Madilu
ama Koffi
me ndio rapper Don
nawananipenda saa me najidu ju hawatoshi

Damn,
eeii! manze hebu cheki hawa wasee buda yaani
wananichekesha tu vibaya sana
ati Jones mara oh,
Defao,
mara sijui Jones nini,
buda yaani ju ya hiyo story sasa
nimebleach
na nimebleach hadi haga
nimebleach hadi balls
I done bleached everything men
I done bleached my studio Blu Ink
I done bleached my whips
everything is bleached out bruh
halafu nyi marappers msicheze na me
ntawachapa vibaya sana
sanasana we umeisha fashion
we unajijua
hautajwi leo
eeh tupatane na huko ivyo buda
1960 respect the OGs n*gga
Papa Jones
Buda yao
endeni mkaambie hao wasee waweke lighting yao vizuri bana
si ati ni mimi ati sijui nini nini

HOOK

Toa tint
Khali ametoa tint[is you serious?]
Toa Tint
Khali ametoa tint[is he for real?]
Mask off,
he got that mask off
Mask off,
he got that mask off
Toa tint
Khali ametoa tint
Toa Tint
Khali ametoa tint
Mask off,
he got that mask off
Mask off,
he got that mask off

Facebook Comments
Loading...
  • Facebook
  • Twitter
0