Please go to your post editor > Post Settings > Post Formats tab below your editor to enter video URL.

K-South’s lyrics to the song changamka is finally out

3 mins read

Verse One (Bamboo)

Ehh baby si uko fresh
kaa mimi
Yes kaa chini
Stress?
ya nini?
Ex?
ako wapi,
I guess
ako mbali,
Naflex
hapo ndani,
Na mresh,
Tafathali,
Si rest mpaka yaani
Ni get
namba gani,
Ya phone yako honey
Mama samahani,
Lakini nimekubali style yako ya mavazi
Uflow
kama maji,
U know,
niko ndani
ya dough
Kama kazi ya kuleta mziki ndani show
Na si lali
Juu naona kuna potential
Ya kumarry kwa bahari kule mombaso,
Pole mombasa
Ujawai naswa
Nakachali ajawai kubali kuwachwa?
Ujawai bambwa,
Na Bambizzle fashizzle naroga waganga,
Saa sema nami mami namba one mcee hapa haha haha
Big fish papa

Chorus

We amka,
Changamkaa,
Bamba wako,
Janjaruka,
Aki kataa, umepataa,
Na aki kataaa shauri yako

Verse Two (Abbas Kubaff)

Naitwa Abbas,
kidogo kubaff,
natoka K-south,
mi hua na rap nina label ya blue,
jinika ya black,
napitia base kugotea mras,
kando yangu ni mresh,
tena dame ana class,
vile mi hupenda art,
najua collage,
akidaisha form,
naeza ichora na brush,
naiweka kwa frame,
paka rangi ya brass,
si twende kwa bash,
mi huanga na crash,
si ukajitayarishe na ujipake marash,
na uvae mavaz ama uvue mavaz,
niku massage,
mafuta ni ya visage,
baby ume blush?,
na mbona hauna glass? Usiwe na was,
twende backayard, ujilaze kwa grass,
tula rerax,
tuskize K-south,
Bamboo na Abbas bado tuko works…

 Chorus

We amka,
Changamkaa,
Bamba wako,
Janjaruka,
Aki kataa, umepataa,
Na aki kataaa shauri yako

Verse Three (Bamboo)

Kuna kuna kuna masupuu hapa,
Na Bamboo hapa,
Abaas kumbaba, eeh,
Naskiza speaka iki boom boom baba
Nazoom zoom zaga
Mavas kung’ara, weeh
Napenda sana nikitoka kanisani
Na pitia jirani tubonge mambo flani eeh,
Na tafathali nikikuambia siri kuhusu pesa yangu, usiambie watu weh!!
Saa twende kazi,
Baby tam tam, tam tam,
Na ex wako amejam jam, jam jam
Kama magari ziki kam kam, kam kam, kutoka tao watabambam bambam
Ni shauri yake juu sisi tunapendana
Kama bibi na bwana,
Kaa Michele na Obama
Kukataa miti kaa budah wah Kim Kardashiana
Haifai kwa vijana
Hii mambo noma sana weeh!!
Finally basi
Usiseme tumeisha
Sai ndiyo tumeivaa
Uliza yule diva ni
K-South kabisa
Na uki jitahidi,
Na uongeze bidii,
Pingine atakubali heee??

Chorus

We amka,
Changamkaa,
Bamba wako,
Janjaruka,
Aki kataa, umepataa,
Na aki kataaa shauri yako

 

I love everybody who loves everybody, somebody got to love somebody at some point.
Music is something that comes natural to everybody and it's a language that everybody can understand, I understand it and that's why I speak it
fluently, do you.