Ad Clicks : Ad Views : Ad Clicks : Ad Views : Ad Clicks : Ad Views :

choku – pole lyrics ft juacali

/
/
/
/
video

Ulidhani kuwa mimi nakupenda,
Ulidhani kuwa mimi nakutaka,
ulidhani kuwa mimi nakutamani, pole
Ulidhani kuwa mimi nakupenda,
Ulidhani mimi nakutaka,
ulidhani kuwa mimi nakutamani, pole

sio kuwa sikuku kuwaza,
sio kwamba na kupuuza,
sio kwamba nakudharau,
wengi tushapitia,
wasema kuwa huyu dada amekuvunja moyo, moyo,
unalia, una nuna, sasa wanichukia
sababu sikupendi, sikutaki,

Ulidhani kuwa mimi nakupenda,
Ulidhani kuwa mimi nakutaka,
ulidhani kuwa mimi nakutamani, pole
Ulidhani kuwa mimi nakupenda,
Ulidhani mimi nakutaka,
ulidhani kuwa mimi nakutamani, pole

you gotta know this,
I never wanted some,
I just needed you to be a friend,
to be a friend,
you gotta know this,
I never wanted some,
I just needed you to be a friend,
to be a friend,
barua na maua zote ulituma,
na kumbe sikupendi,
sikutaki,

Ulidhani kuwa mimi nakupenda,
Ulidhani kuwa mimi nakutaka,
ulidhani kuwa mimi nakutamani, pole
Ulidhani kuwa mimi nakupenda,
Ulidhani mimi nakutaka,
ulidhani kuwa mimi nakutamani, pole

(Juacali)
najua bado unanipenda, vile nakuona najua bado hii kitu unaipenda,
nimejaribu kuongea nawe, kitu unaeza niambia tu ni pole,
hiyo pole basi unaweza ambia hii kidole,
vile juzi tulikuwa tunafanya kwa kitanda, hata mimi nakuwambia pole,
hii kitu hataiona tena,
mimi hujanivunja roho, hata ka unitamani bado nilikuwa nawe unanipenda,
acha nikuwambie hiyo maua nilikuwa nimetumia sister yako,
wewe na kimbelembele yako ukadhani ni zako,
basi nakuwambia pole, pole hazikuwa zako!
barua na maua zote ulituma, na kumbe sikupendi, sikutaki,

Ulidhani kuwa mimi nakupenda,
Ulidhani kuwa mimi nakutaka,
ulidhani kuwa mimi nakutamani, pole
Ulidhani kuwa mimi nakupenda,
Ulidhani mimi nakutaka,
ulidhani kuwa mimi nakutamani, pole

Facebook Comments
Loading...
  • Facebook
  • Twitter
0